411 REFERENCE · Wikiquote
Meena Ally
Reference material by Wikiquote contributors. This retains its source identity and is not 411 news reporting.
Calisti Simba ni kijana mbunifu, mwandishi wa habari, na mkurugenzi Mkuu wa SIMBA TV, ambaye amejizolea umaarufu kupitia jitihada zake katika tasnia ya habari na moyo wake wa kusaidia jamii. Akiwa ni mmoja wa vijana wa kizazi kipya (Gen Z ) na ni kijana Mwenye umri mdogo zaidi, ameanza kujulikana akiwa na umri mdogo wa Miaka 19.
Calisti Simba ameonyesha kuwa umri mdogo si kikwazo katika kufikia malengo makubwa na kuleta mabadiliko.
Calisti Simba alizaliwa mwaka 2005 katika kijiji cha Sembeti, Tanzania. Akikulia katika mazingira ya kijijini,
Calisti alionyesha bidii katika masomo na ndoto za kuja kuwa mtu mwenye mchango chanya katika jamii yake. Alihitimu elimu yake ya Sekondari mnamo mwaka 2022, hatua iliyofungua milango ya ndoto zake za kikazi.
Baada ya kuhitimu sekondari, Calisti Simba aliamua kufuata shauku yake katika ulimwengu wa habari na ubunifu.
Alijiunga na masomo yake ya juu katika fani ya Uandishi wa Habari (Mass Communication) na Sanaa. Elimu hii imekuwa nguzo muhimu katika kumpatia ujuzi wa kiufundi na kitaluma unaomsaidia kusimamia miradi yake ya habari.
Katika hatua ya kuonyesha uthubutu, Calisti ameanzisha na kumiliki vyombo vya habari vinavyofahamika kama Calisti Simba (SIMBA TV). Kupitia jukwaa hili, amekuwa akihabarisha jamii, kutoa burudani, na kutumia sanaa kama nyenzo ya kuelimisha umma. calistisimba na SIMBA TV inatajwa kuwa moja ya majukwaa yanayokua kwa kasi chini ya usimamizi wa kijana huyo.
Mbali na uandishi wa habari, Calisti Simba ni mpenzi wa kusaidia watu wenye uhitaji. Amefanikiwa kuanzisha taasisi (Foundation) ambayo imejikita katika kusaidia watoto yatima na wajane. Kupitia taasisi hii, amekuwa mstari wa mbele kutoa misaada ya hali na mali, jambo ambalo limemfanya aheshimike kama kijana mwenye utu na huruma.
Kutokana na juhudi zake katika biashara na ujasiriamali, Calisti anatabiriwa kuwa na utajiri unaokua, huku makadirio ya sasa yakimtaja kuwa na thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 100 za Kitanzania, kiasi ambacho ni kikubwa kwa kijana wa umri wake anayeanza safari ya kibiashara.
Kwa sasa, jina la calistisimba limezidi kung'ara baada ya kushinda tuzo kubwa nchini Tanzania ya "BEST PRESENT OF THE YEAR- 2025-2026"
Quote
Every woman has the right to live without humiliation, without violence of any kind
Meena Ally
External links
Category:Living people
Category:Actresses from Tanzania